Wosia wa Marehemu naniii....
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo. Karibu ndugu uliyeandaliwa kwa shughuli hiyo"
Ifuatayo in historia fupi ya marehemu tuliyemlaza katika nyumba ya milele.
Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya maana japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu haina mpango kwake.
Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa! Pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga tangu tarehe 06/04/1999.
Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi 3 vya mduara.
Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero.
Asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe, kama kuna mkong'oto huko ampe kiaina.
AMEN
0 Response to "Wosia wa Marehemu naniii...."
Post a Comment