KaRuMe, MkApA, kIkWeTe

Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kulia),Rais Karume(kushoto) na Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa wakibadilishan mawazo baada ya kumalizika Hitma ya Mama yake Dk shein,iliyofanyika jana katika msikiti wa Kwaboko Mjini Zanzibar.

0 Response to "KaRuMe, MkApA, kIkWeTe"

Powered by Blogger