Ghana Imejiandaa Kuishangaza Dunia Ya Kandanda!



Jioni hii Ghana wanajitupa uwanjani kupambana na Serbia. Kwa muda mrefu imefikiriwa kuwa Ivory Coast ni timu ambayo ingeweza kufanya vema zaidi wakati fainali za Kombe la Dunia zikifanyika barani Afrika kwa mara ya kwanza. Lakini kwa sasa hali si hiyo. Ghana inaonekana imejiandaa vema kuwashangaza wengi kwa kufika mbali zaidi ya jirani zao Ivory Coast.

0 Response to "Ghana Imejiandaa Kuishangaza Dunia Ya Kandanda!"

Powered by Blogger