rais kikwete ana kwa ana na Bill Clinton ikulu leo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.

0 Response to "rais kikwete ana kwa ana na Bill Clinton ikulu leo"

Powered by Blogger