chenge atua bongo kujibu mapigo

Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge akijibu mwasali ya waandishi wa habari juu ya shutma za kujilimbikizia fedha muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea nchini China katika alikokuwa ziarani na Rais jakaya Kikwete

0 Response to "chenge atua bongo kujibu mapigo"

Powered by Blogger