hotuba

Hotuba Ya Rais Kwa Taifa

Ndugu Wana-CCM Wenzangu;
Viongozi na Wanachama Jumuiya za CCM;
Ndugu Wananchi;

Kama mjuavyo tumejiwekea utaratibu wa Rais kuzungumza na taifa kila mwisho wa mwezi. Lakini, kwa mwisho wa mwezi wa Machi nilishindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kulazimika kwenda Mererani, Mkoani Manyara ambako kumetokea maafa makubwa kwa wachimbaji wa madini.

Maafa hayo yalisababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha katika eneo hilo usiku wa tarehe 28 kuamkia tarehe 29. Nilikwenda kuwafariji wenye migodi, wachimbaji na familia zao kwa maafa yaliyowakuta. Pia nilikwenda kuona shughuli za uokoaji na uopoaji wa miili ya wale waliofariki. Soma zaidi:

http://hakunakulala.blogspot.com

0 Response to "hotuba"

Powered by Blogger