AFARIKI KWA KUGONGWA NA KICHWA CHA TRENI DAR!!!


Askari wa usalama barabarani akiangalia mwili wa mkazi wa jiji la Dar es Salaam ambaye hakuweza kufahamika mapema baada ya kugongwa na kichwa cha Treni katika eneo la Daraja la Keko,leo mchana. Imeelezwa kuwa kijana huyo alikuwa akiishi karibu kabisa na eneo hilo ambapo aligeuza eneo hilo kuwa maskani yake ya kudumu, akifanya shughuli zote na kulala chini ya daraja hilo kama nyumbani kwake.


Wakazi wa maeneo hayo wakiangalia mwili huo

0 Response to "AFARIKI KWA KUGONGWA NA KICHWA CHA TRENI DAR!!!"

Powered by Blogger