Basi la Spider T 964 BHS aina ya Nissan likiwa limeacha njia na limepinduka katika eneo la Mikese Miembeni majira ya saa 3:10 asubuhi katika barabara kuu mkoani Morogoro wakati likitokea nchini Burundi na kuelekea Jijini Dar es Salaam na kujeruhi watu watatu.
0 Response to "Ajaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..!"
Post a Comment