Hatimae upande wa Jamhuri katika kesi ya kuomba rushwa ya Sh milioni 10 inayomkabili aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro na wafanyabiashara wawili uiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kwamba upelelezi wa kesi hiyo umekamilika.
0 Response to "Upelelezi Kesi Ya Jerry Muro Wakamilika."
Post a Comment