GRAND GOLD AWARD FOR NDOVU SPECIAL MALT
TUZO YA GRAND GOLD AWARD KWA NDOVU SPECIAL MALT
Oscar Shelukindo na Mzee Gaudence Mkolwe wakipokea Grand Gold Award ya Ndovu Special Malt jijini Wiesbaden, Ujerumani, usiku kuamkia leo.
Wakiwasili kupoka Grand Gold Award ya Ndovu special malt.Meneja wa Ndovu Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe wanatarajiwa kupokewa kwa shangwe watapotua Dar Jumatano Mchana na Gulf Air
0 Response to "GRAND GOLD AWARD FOR NDOVU SPECIAL MALT"
Post a Comment