WASANII MNAKARIBISHWA KUJA KUSHOOT KWENYE PUB YANGU.
Ben Kinyaiya anawakaribisha wasanii wote na watu wengine kutembelea Pub yake iliyopo nyuma ya Mango Garden Kinondoni. Kwa wale wasanii wanaopenda ma graffiti sehemu hii utachakugua mpaka uchoke.
Kuna kaunta ya nje na ya ndani, hii ni kaunta ya ndani ikiwa inamaliziwa maliziwa. Huku VIP unakula kipupwe safiiiiiii huku ukicheki tv yako iliyounganishwa na Dstv.
0 Response to "WASANII MNAKARIBISHWA KUJA KUSHOOT KWENYE PUB YANGU."
Post a Comment