Ndovu Special Malt Grand Gold Award Yawasili Nchini



Meneja wa Bia ya Ndovu Oscar Shelukindo (wa nyuma kushoto)na Mpishi Mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe (kulia)wakiwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana wakitokea jijini Wiesbaden nchini Ujerumeni ambako walikabidhiwa tuzo kubwa ya dhahabu ya kinywaji cha Ndovu ijulikanayo kama Grand Gold Award.

0 Response to "Ndovu Special Malt Grand Gold Award Yawasili Nchini"

Powered by Blogger