Tumeshinda..! NDOVU



Meneja wa Bia ya Ndovu akilonga jambo na wafanyakazi wa TBL na Waandishi wa Habari jioni hii katika viwanja vya TBL muda mfupi mara baada ya kuwasili toka nchini Ujerumani.Pembeni ni Walimbwende waliopamba mapokezi hayo.

0 Response to "Tumeshinda..! NDOVU"

Powered by Blogger