TGNP na FemAct Yazindua Ilani ya Uchaguzi ya wapiga kura 2010.!!!


Wadau wa (TGNP) na (FemAct) wakiwa kwenye maandamano kuelekea ofisi za (TGNP) kwa ajili ya uzinduzi wa ilani ya uchaguzi wa wapiga kura mwaka 2010 jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa (TGNP) Bi.Usu Mallya(katikati) akitoa utangulizi kwa waandishi wa habari na Wadau mbalimbali (TGNP) na (FemAct) katika sherehe za Uzinduzi wa Kitabu cha ilani ya Uchaguzi ya wapiga kura mwaka 2010 katika viwanja vya Ofisi za (TGNP) Leo mapema asubuhi jijini Dar es Salaam.

0 Response to "TGNP na FemAct Yazindua Ilani ya Uchaguzi ya wapiga kura 2010.!!!"

Powered by Blogger