Waziri wa Nishati na Madini Baada ya kumaliza Kipindi cha Power Breakfast(CLOUDS FM)alichokuwa analonga!!!


Waziri wa Nishati na Madini,William Ngeleja akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga mara baada ya kumaliza mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na redio ya Clouds FM leo asubuhi.

0 Response to "Waziri wa Nishati na Madini Baada ya kumaliza Kipindi cha Power Breakfast(CLOUDS FM)alichokuwa analonga!!!"

Powered by Blogger