
Meneja wa Bia ya Ndovu akilonga jambo na wafanyakazi wa TBL na Waandishi wa Habari jioni hii katika viwanja vya TBL muda mfupi mara baada ya kuwasili toka nchini Ujerumani.Pembeni ni Walimbwende waliopamba mapokezi hayo.
Proudly sponsored by TIGO.(MIC TANZANIA LTD)
England football team Fabio Capello (2r) arrives at Johannesburg Air Port in South Africa for the 2010 football World Cup Finals On June 3,2010.The team will tranfer to their Hotel and training base at the Bafokeng Sports Campus near Rustenburg ahead of their opening game against USA on 12th,July.
Mkurugenzi wa Miss Tanzania , chini ya kampuni ya Lino International Agency Bw.Hashim Lundenga(wa pili kushoto) akisisitiza jambo alipowatembelea Washiriki wa Miss Dar City Centre kambini hapo jana katika hotel ya Lamada jijini Dar es Salaam(wa pili kulia) Miss Vodacom Tanzania (2009) Miriam Gerald akisliliza kwa makini somo wanalopewa washiriki hao(kulia)Mshindi wa pili wa Miss Vodacom Tanzania 2009 Beatrice Lukindo
Kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi wa Miss Tanzania , chini ya kampuni ya Lino International Agency ambao ndiyo waratibu wa shindano la Miss Tanzania Hashim Lundenga, jana jioni ilitembelea kambi ya Miss Dar City Centre kwenye kambi yao iliyopo katika Hotel ya Lamada.
Kamati hiyo ilikuwa pia na viongozi wengine pamoja na Miss Tanzania Miriam Gerald sasa na mshindi wa pili Beatrice Lukindo wote kwa pamoja waliweza kuwasifia warembo hao na kuwataka wajitahidi kuwakilisha vyema ilikuweza kufikia malengo waliotimiza wao.
Kwa upande wake Lundenga aliwataka warembo hao kujituma na kuacha kusikia maneno ya mitaani juu ya sifa wanazotupiwa mamiss.
“Nawaambieni, mashindano ya Urembo ni sekta ambayo inakuwa kwa kasi mno, hivyo mjitahidi musiitie matope kwa aina yoyote hile, ondoeni dhana zote zilizojengeka”.
Pia aliwasihi mamiss hao kujichunga na kuacha kurubuniwa na wanaume ambao wanataka kuwachezea ambapo hapo baadae wanawaacha.
“Tunaomba ieleweka kuwa, kila mrembo anakuwa chini yetu kuanzia kambi hadi kumalizika kwa kambi, chini ya hapo anakuwa huru, hivyo matukio mabaya juu ya mamis mengi yanawapata wakiwa nje ya utaratibu wetu” alisema Lundenga.
Baadhi ya warembo watakao menyana na kupatikana mshindi wa kituo hicho itakayofanyika katika Hotel ya Movenpick, ni pamoja na Glory Mosha(20), Agness Francice(20),Bahati Chande(20),Kiren Mohammed (20), Sara Nasoro(20),Suraina Merwiro(23), Neena Jackob(2o), Neema Alen(18), Mariam Hassan (19), Sara Said (20),Nance Mane(20) na Anabela Isaya(21).